Wachezaji wa Timu ya Jamhuri kutoka Kisiwani Pemba wakiwa katika mazoezi baada ya kuwasili Unguja kwa ajili ya Mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League" na Timu ya Kundemba unaofanyika leo jioni katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.
NIRC, JKT ZAUNGANA KUONGEZA UZALISHAJI KUPITIA UMWAGILIAJI
-
📍 Mlimba, Kilombero – Morogoro
Shamba la Chita JKT, lenye ukubwa wa ekari 12,000 zinazolimwa, limepangwa
kuwa mfano wa ushirikiano kati ya Jeshi la Kuje...
7 hours ago







0 Comments