Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Wageni mbalimbali wakati wa Hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Viongozi
pamoja na Washiriki wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika
(AGRF) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi
Tuzo ya African Food Prize 2023 kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Pan-Afrika Bean
Research Alliance (PABRA) ambaye pia ni Mkuu wa Mradi wa Maharage Dkt. Jean
Claude Rubyogo kwa niaba ya Taasisi hiyo yenye Makao Makuu nchini Kenya wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Viongozi pamoja na Washiriki wa
Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 07 Septemba, 2023. Katikati ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa
African Food Prize akishuhudia.
Rais
wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye akiwa kwenye hafla ya Chakula cha Jioni
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Waziri
Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam
Desalegn ambaye pia ni Mwenyekiti wa AGRA akiwa kwenye hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa kwa ajili ya
washiriki wa Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye hafla ya Chakula cha Jioni kwa ajili ya washiriki wa Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria Hafla ya Chakula cha jioni cha Washiriki wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria Hafla ya Chakula cha jioni cha Washiriki wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Goodluck Jonathan kando ya mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa
Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Goodluck
Jonathan, Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, viongozi wengine pamoja na mshindi
wa African Food Prize 2023, Mkurugenzi wa Taasisi ya
Pan-Afrika Bean Research Alliance (PABRA) ambaye pia ni Mkuu wa Mradi wa
Maharage Dkt. Jean Claude Rubyogo (aliyeshika Tuzo) wakati Hafla ya Chakula cha
jioni alichowaandalia Viongozi pamoja na Washiriki wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa
la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07
Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment