Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awaapisha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Mabalozi aliowateua Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu (Uratibu wa Shughuli za Serikali) na Waziri wa Nishati katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Uchukuzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. January Yusuf Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Angellah Jasmine Kairuki kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa ujenzi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Anthony Peter Mavunde kuwa Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Cyprian John. Luhemeja kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu) katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt. Bernard Yohana Kibese kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Kenya katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Mwajuma Juma Waziri kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Mabalozi  Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.