Habari za Punde

Katibu Mkuu UWT Jokate Apokelewa kwa Kishindo Makao Makuu UWT Taifa Dodoma

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndg.Jokate Mwegelo akipeana Mkono na Bi Asha Iddi alipokwenda katika Soko la Machanga Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndg.Jokate Mwegelo akilakiwa na Wanachama na Viongozi wa UWT alipowasili Ofisi za Makao Makuu ya UWT Dodoma

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndg.Jokate Mwegelo akifurahi Jambo Katika tukio la Mapokezi yake lililofanyika Makao Makuu ya (UWT) Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndg.Jokate Mwegelo, akikabidhiwa Rasmi Nyaraka za Ofisi na aliekua Katibu Mkuu wa Jumuiya Iyo Dkt. Philis Nyimbi,Makabidhiano hayo yameshuhudiwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Shomari wakiambatana na wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Shomari wakiambatana na wajumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa wameshiriki kumpokea Katibu Mkuu wa UWT Ndg.Jokate Mwegelo kwenye Ofisi za Makao Makuu ya UWT Dodoma.
(Picha Zote na Fahadi Siraji)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.