Habari za Punde

Uongozi wa Wizara ya Elimu ziarani Korea Kusini kujifunza mfumo na mageuzi ya Elimu

Viongozi kutoka Wizara ya Elimu Zanzibar wakiongozwa na Naibu Waziri Elimu Mhe. Ali Abdulghulam Hussein na watendaji wa Shirika la Good Neighbors Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao kutoka makao makuu ya Shirika la KOICA na Good Neighbors katika ukumbi wa Korea Development History Hall katika mji wa Pangyo, Seoul yaliyopo makao makuu ya KOICA Jamhuri ya Korea mara baada ya hafla ya ufunguzi wa mafunzo kwa viongozi hao kuhusu mfumo na mageuzi ya Elimu yaliyoratibiwa na shirika la KOICA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.