Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa India
Mhe. Droupadi Murmu mara baada
ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09
Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa India
Mhe. Droupadi Murmu pamoja na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi
nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa
Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye mapokezi yake katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09
Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09
Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09
Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima
wakati wa hafla ya mapokezi yake katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09
Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu wa India
Mhe. Narendra Modi wakati wakielekea kwenye mazungumzo katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House
New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Waziri
Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House
New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake akiwa na
Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi katika mazungumzo Rasmi katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House
New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu wa India
Mhe. Narendra Modi mara baada ya mapokezi katika Ikulu
ya India tarehe 09 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu mara baada ya mapokezi katika Ikulu ya India tarehe 09 Oktoba, 2023.
No comments:
Post a Comment