Habari za Punde

Mkutano wa 30 wa Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma Kusini mwa Afrika kufanyika Zanzibar

Rais wa Saba(Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma kusini mwa Afrika )Stanley Benjamin Similo(katikati)alipokuwa akizungumza na Wanahabari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Mkutano wa 30 wa Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma Kusini mwa Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC DKT,Ayubu Rioba Chacha na kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano TBC Catherine Nchimbi.
Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt,Ayubu Rioba Chacha akifafanua jambo katika hafla ya mkutano na vyombo vya Habari kuelekea  Mkutano wa 30 wa Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma Kusini mwa Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya mkutano na vyombo vya Habari kuelekea  Mkutano wa 30 wa Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma Kusini mwa Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Rais wa Saba(Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma kusini mwa Afrika )Stanley Benjamin Similo akonesha Habari inayooneshwa kupitia Mitandao ya Simu za mikononi alipokua akizungumza na vyombo vya  Habari vya Umma Kusini mwa Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika hafla ya mkutano wa Rais wa Saba na vyombo vya Habari kuelekea  Mkutano wa 30 wa Jumuiya ya Vyombo vya Habari vya Umma Kusini mwa Afrika utakaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR,09-10-2023.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.