Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Masjid Sheikh Naima Bint Sultan Mohamed Al -- Qasim

Muonekano wa Msikiti wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi yaliyojengwa Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi kwa usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy Sheikh Nadir Mahfoudh wakati alipotembelea madrasa iliyojengwa sambamba  na Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi  chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy, wakati wa ufunguzi  leo, Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi sambamba na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy, kwa ufadhili wa Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi katika Kijiji cha Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, Sheikh Mohamed Al-Qasimi Mwenyekiti wa Masuala ya kifedha  wa Sharjah (kushoto) Kny;Mkurugenzi Mkuu Annuor  Charitable Sheikh Luay Mohamed  Mahfoudh,Saadat Al-Sheikh Muhamad Saud  Bin Sultan Alqasimy na Saadat Al-Qunsul Saleh Ahmed Alhemeiri 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi  kutoka kwa Sheikh Mohamed Al-Qasimi Mwenyekiti wa Masuala ya kifedha  wa Sharjah akimuakilisha  Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi uliojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Risala ya Ufunguzi   wa Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi sambamba na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy,iliyosomwa leo na Ustadh Abdul Mabrouk  Kitwana,mbele ya mgeni rasmi   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia)  Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa  ufunguzi  Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi pamoja na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa  ufunguzi  Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al- Qasimi pamoja na Madrasa zilizojengwa chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy, alipofika kufungua rasmi leo Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Jengo la Madrasa katika Msikiti Masjid Sheikha Naima Binti Sultan Al-Qasimi yaliyojengwa Tomondo Wilaya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi kwa usimamizi wa Jumuiya ya Al-Noor  Charitable Agency for the Needy.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.