RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.
Shigeki Komatsubara , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki
Komatsubara (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo
14-12-2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023
No comments:
Post a Comment