Jamhuri ya Muungano Tanzania kushiriki Rasmi Maonesho ya Sanaa ya Uchoraji, Uchongaji, Ubunifu na Ujenzi Ramani na Upambaji (Architecture and Interior Designing) ya Biennale mjini Venice nchini Italia kuanzia tarehe 16 Aprili hadi 20 Aprili 2024 chini ya Usimamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Kwa maelezo zaidi fuatilia hapa:
No comments:
Post a Comment