Baadhi ya wananchi wakifuatilia maonesho ya kazi zinazofanywa na taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi kupitia magari yaliyoandaliwa na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais kazi Uchumi na uwekezaji ikiwa ni shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa pili wa Rais mstaafu Balozi Seif Ali Iddi akipokea maonesho ya kazi zinazofanywa na taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi kupitia magari yaliyoandaliwa na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais kazi Uchumi na uwekezaji ikiwa ni shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi ofisi ya raisi kazi uchumi na uwekezaji akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonesho ya kazi zinazofanywa na taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi kupitia magari zilizoandaliwa na taasisi hiyo ikiwa ni shamrashamra za kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment