Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto mbalimbali baada ya kuwasalimia katika mtaa wa mwembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 26-1-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Twauba Mwembemakumbi.
Siasa : Dkt. Mwinyi - CCM ni Mhimili wa Amani na Maendeleo
-
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-18%20at%208.47.18%20AM]
[image: WhatsApp%20Image%202025-09-18%20at%208.47.20%20AM%20(1)]
MGOMBEA wa kiti cha Rais wa ...
9 minutes ago
No comments:
Post a Comment