MUONEKANO wa Jengo la Hoteli ya nyota tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar,
inayojengwa katika eneo la Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja iliyowekewa
jiwe la msingi la ujenzi huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo 7-1-2024 ikiwa ni shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mstaafu Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Mradi
wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, kwa ajili
ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 7-1-2024, ikiwa ni shamrashamra
za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwekezaji wa Mradi wa
Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and
Resort Zanzibar.Bw.Gavin Faull, alipowasili katika viwanja vya hoteli hiyo
Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 7-1-2024, kwa ajili
ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo ikiwa ni shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwekezaji wa Mradi wa Hoteli
ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar ,Bw.Laurent Voivenel (hayupo
pichani) akitowa maelezo ya michoro ya ujenzi wa hoteli hiyo, wakati wa uwekaji
wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika leo 7-1-2024, na (kulia
kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na
(kushoto kwa Rais) Muwekezaji wa Hoteli hiyo Bw. Nadhim Al Rawahi, Mkurugenzi
Mtengaji wa ZIPA Ndg. Shariff Ali Shariff na Mwekezaji wa Hoteli hiyo Bw. Gavin
Faull
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwekezaji wa Mradi wa Hoteli
ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar ,Bw.Laurent Voivenel akitowa
maelezo ya michoro ya ujenzi wa hoteli hiyo, wakati wa uwekaji wa Jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika leo 7-1-2024, na (kushoto kwa
Rais) Muwekezaji wa Hoteli hiyo Bw. Nadhim Al Rawahi, Mkurugenzi Mtengaji wa
ZIPA Ndg. Shariff Ali Shariff na Mwekezaji wa Hoteli hiyo Bw. Gavin Faull
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort
Zanzibar, (kushoto ) Muwekezaji wa Mradi huo Bw.Nadhim Al Rawahi,hafla hiyo ya
uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi huo uliofanyika leo 7-1-2024 ikiwa ni
shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe
la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort
Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika leo 7-1-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe
la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort
Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi
Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soranga na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mstaafu Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe
la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort
Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo
iliyofanyika leo 7-1-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
WAKAFANYAKAZI wa Kampuni ya ujenzi ya Estim
inayojenga hoteli ya Crown Hotel and Resort Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya
uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia
katika hafla hiyo iliyofanyika leo 7-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
VIONGOZI wa Serikali na wa Vyama vya Siasa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji
wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and
Resort Zanzibar, uliofanyika leo 7-1-2024.
No comments:
Post a Comment