Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Kikao cha Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban akijubu maswali ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wa mkutano wa Baraza ulioaza leo 14-2-2024.

Mkutano wa 14 wa Baraza la 10 la Wawakilishi umeanza leo 14-2-2024 , miongoni mwa shughuli ilikua ni kiapo cha mjumbe Mpya wa Baraza la Wawakilishi Mhe Sharif Ali Sharif alieteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi hivi karibu.

Aidha shughuli nyengine zilizoendelea ni masuali na majibu ambapo Wajumbe walipata fursa ya kuiuliza Serikali na kupatiwa majibu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.