Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, akisaini Kitabu cha maombolezo cha msiba wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu,Hayati Edward Lowassa, katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo Februari 12, 2024.*
TFRA YATOA ELIMU YA MBOLEA KWA VITENDO KUPITIA MASHAMBA DARASA MIKOA YA
LINDI NA MTWARA
-
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kwa kushirikiana na kampuni
za mbolea za ETG na Itracom zimefanikiwa kusambaza tani nne za mbolea kwa
ajili y...
18 minutes ago
No comments:
Post a Comment