Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan ampokea mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda wakati wa Wimbo wa Taifa ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda  wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda  wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Poland Andrzej Duda akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Poland Andrzej Duda akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.