Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini
Kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa,
Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimpa pole Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa mara baada ya
kuwasili katika eneo la mazishi, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai
Lowassa, Monduli Mkoani Arusha.

Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika mazishi ya Waziri Mkuu
Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika mazishi ya Waziri Mkuu
Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha.
Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa akisali mbele ya jeneza lenye
mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake
Monduli Mkoani Arusha.
No comments:
Post a Comment