Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Azungumza na Balozi wa Uingereza na Ujumbe wa Kampuni ya Nutri-San Inayojenga Kiwanda cha Mwani Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania  Mhe.David Concar (kulia kwa Rais ) akiwa na Ujumbe wa Kampuni ya Nutri –San Limited ya Uingereza inayojenga Kiwanda cha Mwani Chamanangwe Pemba, ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nutri – San Ltd. San Chau (kulia kwake) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nutri-San ya Uingereza inayojenga Kiwanda cha Mwani Chamanangwe Pemba na (kulia kwa Rais) Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar  na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeeo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.