Habari za Punde

Ziara ya Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Wilayani Bunda

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Butiama mkoani Mara, akiwa katika ziara ya kikazi Februari 27.2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Butiama mkoani Mara, akiwa katika ziara ya kikazi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi Wilaya Butiama mkoani Mara, akiwa katika ziara ya kikazi Februari 27.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.