Waandishi wa habari wakifuatilia kikao cha Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo
(hayupo pichani) kuhusu mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
jijini Dodoma leo Machi 26, 2024, Dodoma.
Waandishi wa habari wakifuatilia kikao cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) kuhusu mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi
ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi (kulia) na Msemaji Mkuu wa
Serikali Bw. Mobhare Matinyi wakati wa kikao na waandishi wa habari kuhusu
mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Dodoma leo Machi 26, 2024, Dodoma. Kulia ni Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Sarah Kibonde.
jijini Dodoma leo Machi 26, 2024, Dodoma.
No comments:
Post a Comment