RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Masjid Al
Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam na Viongozi wa Msikti huo na kuhudhuria
Ibada ya Sala ya Ijumaa na kujumuika na Wananchi katika Kisomo cha Dua ya kumuombea
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali
Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya Sala ya Ijumaa leo
22-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuka na Masheikh, Wanavyuoni na
Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,
iliyoandaliwa na Uongozi wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam leo
22-3-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Al
Jumaa Kitumbini Sheikh. Said Ahmed Alawii Badawi na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa
Baraza la Wadhamini Masjid Al Jumaa Sheikh.Faudh Aboud Muhammad
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanavyuoni,Masheikh na
Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,
ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam
Sheikh. Said Ahmed Alawii Badawi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais ) Mjumbe
wa Baraza la Wadhamani Masjid Al Jumaa Kitumbini Sheikh, Faudh Aboud Muhammad
na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa Sheikh.Hassan Chizenga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha
Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Uongozi wa Masjid Al Jumaa
Kitumbini Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024

Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa
Masjid Al Jumaa Kitumbini Jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Ibada
ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,
iliyofanyika leo 22-3-2024 katika Masjid hiyo
No comments:
Post a Comment