Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Urambo, Mama Margaret Sitta, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Mheshimiwa Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utunishi wa Umma,George Simbachawene na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi, Ridhiwani Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2024.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.