RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali na Taasisi, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar, Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya Uzinduzi wa Taasisi ya
Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliofanyika leo 20-4-2024 katika ukumbi wa
Hoteli hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Masoko wa Shirika la
Nyumba Zanzibar (ZHC)Ndg.Nurdin Hussein Mohamed,wakati akitembelea maonesho
katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika leo
20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu
Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji na
(kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Unguja.Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya
PADDCO Ndg. Afla Abdalla Mrusi,wakati akitembelea maonesho ya Wahandisi katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, kabla ya Uzinduzi wa Taasisi
ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika leo 20-4-2024, katika ukumbi
wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi
Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Mohamed Salum na (kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe.Ayoub Mohammed
Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya Al
Hatmy Desigh&Engineering Consultancy Zanzibar Ndg.Abdulhamid Mohammed Ali
Mhoma akitowa maelezo ya michoro ya majengo inayojenga kampuni hiyo Zanzibar,wakati
akitembelea maonesho ya Wahandisi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini
Zanzibar, kabla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika
leo 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Mohamed Salum na (kulia
kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja. Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza akimsikiliza Mwanafunzi wa
Chuo cha Karume Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar, akitowa
maelezo ya ufundi wa utengenezaji wa mashine za ndege,wakati akitembelea
maonesho ya Wahandisi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar,
kabla ya Kuzindua Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika
leo 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Mohamed Salum na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Mngereza Mzee
Miraji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza akimsikiliza Mwakilishi wa Rak
Mhandisi Mbarouk Masoud Mbarouk , akitowa maelezo ya vifaa vya ujenzi,kabla ya
Kuzindua Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji,uliyofanyika leo
20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Mohamed
Salum na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar
Dkt.Mngereza Mzee Miraji na (kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa
Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uzinduzi huo uliyofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
20-4-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum na Waziri wa Ujenzi,
Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kulia kwa Rais) baada
ya Kuzindua Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uzinduzi huo
uliyofanyika leo 20-4-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini
Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Rais wa Taasisi ya
Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji Mhandisi.Abdulsamad M.Mattar
BAADHI ya Wahandisi,Wasanifu na Wakadiriaji
wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji,
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua Taasisi hiyo katika ukumbi wa
Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Makubaliano
Kati ya Bodi ya Usajili Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji Majengo Zanzibar na
Taasisi ya Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji, wakisaini kwa niaba ya Taasisi
zao (kulia) Mrajisi wa Bodi ya Usajili Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji
Majengo Zanzibar. Mhandisi Mansour Rashid na (kushoto) Mtendaji Mkuu wa Taasisi
ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji Mhandisi Mohammed Ahmed Jae, wakati wa
hafla ya Uzinduzi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde
Mtoni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-4-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na
Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed, baada ya kumalizika kwa hafla
ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar,Wilaya ya Mjni Unguja leo
20-4-2024
No comments:
Post a Comment