RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Jengo jipya la Skuli ya
Sekondari ya Hassan Khamis Hafidh, iliyofunguliwa leo na kupewa jina hilo baada
ya ufunguzi huo uliofanyika leo 22-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho
ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:
Post a Comment