Habari za Punde

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu (wa pili kushoto) baada ya mazungumzo yao kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , Idara ya Afrika, Lilian Abdul Makasa na kushoto ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Iddi Ibrahim Iddi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.