Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Mradi wa AIRTEL SMARTWASOMI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Airtel SmartWasomi kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari  Papotlal jijini Tanga, Mei 31, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga  Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu  kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal jijini Tanga,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa  kwenye  uwanja wa ndege wa Tanga baada ya kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Popatlal jijini Tanga, Mei 31, 2024.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.