Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 24, 2024. Kutoka Julia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo, Mbunge wa Viti Maalum, Nancy Nyalusi na Mbunge wa Busega, Simon Songe.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini DodomaJuni 25, 2024. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi, Mbunge wa Kondoa Mjini Ally Makoa na Mbunge wa Kasulu Mjini Profesa Joyce Ndalichako.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kigamboni na mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile kwenye viwanja vya Bunge jijini DodomaJuni 25, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigamboni na mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile kwenye viwanja vya Bunge jijini DodomaJuni 25, 2024. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.