RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Mji Mkongwe Zanzibar. Mhandisi.Ali Said Bakari, akitowa maelezo ya mnara ulioko
katika bustani ya Mnazi Mmoja Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. unaoonesha
masafa ya maeneo mbali mbali ya Unguja yanayoazia katika enao hilo, wakati wa
ufunguzi wa bustani hiyo uliyofanyika leo 15-7-2024.
CHITALE AHUBIRI UMOJA MKUTANO MKUU WA WADAU MADALE GROUP
-
*Na John Bukuku – Dar es Salaam*
*Kaimu DAS wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Salumu Chitale, aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya, ametumia Mkutano wa Umoja wa W...
2 hours ago







0 Comments