Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, mara
baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba,
2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika
nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.
No comments:
Post a Comment