Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kushoto), akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, kando ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Afrika, ulioanza tarehe 27 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unaotarajiwa kutamatika tarehe 28 Januari 2025 utawakutanisha Wakuu wa Nchi za Afrika na wadau muhimu wa sekta ya nishati ili kujadili mikakati ya kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya uhakika, nafuu, na endelevu kwa maendeleo ya Bara la Afrika.
JUKWAA LA NNE LA UTEKELEZAJI WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA
YA MADINI LILETE MABADILIKO -OLLAL
-
MWANZA
Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa
Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo c...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment