Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande (kulia) Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dennis Londo na Mbunge wa Buchosa Erick Shingongo, Bungeni Jijini Dodoma Januari 28, 2025.
TADB, TWCC KUINUA WANAWAKE NA VIJANA KATIKA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
-
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeingia makubaliano na Chama
cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) kwa lengo la kuwawezesha
wanawake n...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment