Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.










 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.