Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM LIWALE

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Liwale,  Marehemu Kindamba Milingo alipowasili nyumbani kwa marehemu, Kindamba  Milingo kushiriki katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (wa pili kushoto) pamoja na waombolezaji  wakishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale yaliyofanyika katika makaburi ya  Nanganda Liwale mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Kulia ni Mtoto wa marehemu, Habibu Kindamba

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza katika mazishi ya Mwenyekiti wa  zamani wa CCM wilaya ya Liwale, marehmu  Kindamba  Milingo yaliyofanyika katika makaburi ya Nanganda Liwale.

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  akishiriki  sala ya kumuombea marehemu Kindamba Milingo, Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale iliyofanyika nyumbani kwa marehemu na baadae maziko yaliyofanyika katika makaburi ya Nangada Liwale, Mkoa wa Lind.

Vijana wa CCM wakiwa wamebeba mwili wa  Mwenyekiti wa CCM wa  zamani wa wilaya  ya Liwale, marehemu Kindamba Milingo katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya  Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Mjumbe wa Kamati Kuui ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alishiriki katika mazishi hayo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Liwale,  Marehemu Kindamba Milingo katika mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya  Nanganda Liwale, Lindi Januari 8, 2025.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.