Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali
ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la
2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 01
Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kijana mnufaika wa mafunzo
ya ufundi stadi VETA ambaye ni mlemavu Ndugu Abdi Athumani Kipara kuhusu kazi yake ya ushonaji wa mabegi mara
baada ya kutembelea banda la maonesho la VETA nje ya ukumbi wa mikutano wa
Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2025.
No comments:
Post a Comment