RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la
Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Nchini Saudi Arabia, ukiongozwa na Rais wa
Shirikisho hilo Mhe.Hassan Al-Huwayz (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 12-2-2025 na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff
Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa
Shirikisho la Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Saudi Arabia Mhe. Hassan Al Huwayz,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. 12-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Shirikisho la
Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka Nchini Saudi Arabia, ukiongozwa na Rais wa
Shirikisho hilo Mhe.Hassan Al-Huwayz (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 12-2-2025 na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff
Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini ya Makubaliano ya
Ushirikiano wa Biashara na Uwekezaji na Saudi Arabia, kati ya Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar na Kampuni ya Uwekezaji ya Saudi Arabia “SADIC”, kwa upande
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Waziri wa Nchi Afisi ya Rais
Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar. Mhe.Shariff Ali Shariif na kwa Saudi Arabia amesaini
Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo “SADIC” Mhe.Mohamed Aldulan, hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 12-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wageni wake, kutoka Shirikisho
la Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Nchini Saudi Arabia ukiongozwa na Rais wa
Shirikisho la Jumuiya hiyo Mhe. Hassan Al Huwayz (kulia kwa Rais) baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 12-2-2025.
No comments:
Post a Comment