RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Msikiti Mpya
uliojenga na Zakaria na Familia yake katika Kijiji cha Zawiyani Mangapwani Mkoa
wa Kaskazini Unguja na kupewa Jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi,
ufunhuzi huo uliyofanyika leo 23-2-2025, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha
Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi. Rais mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, na (kushoto kwa Rais) Mohamed Zakaria na Naimu Zakaria
na (kulia kwa Rais) Nadim Zakaria
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na kutowa shukrani
kwa Familia ya Zakaria wakati wa ufunguzi wa Masikiti uliyojengwa na familia ya
Zakaria na kupewa jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunguzi huo
uliyofaika leo 23-2-2025, baada ya kisomo cha hitma na dua kumuombea Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Ali Hassan Mwinyi,
iliyofanyika Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja
No comments:
Post a Comment