MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia mezungumza na wazee wa Butiama.
SERIKALI YA MTAA MUUNGANO YAGUSA MAHITAJI YA WANANCHI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
SERIKALI ya Mtaa wa Muungano Marobo kata ya Goba Wilayani Ubungo, Jijini
Dar es salaam imepiga hatua kubwa ndani ya miezi m...
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment