Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kulia), akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Bw. Ronald Tran Ba Huy, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo, Jijini Dodoma, ambapo wamekubaliana kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo katika kukuza uchumi jumuishi katika nyanja mbalimbali ikiwemo kushiriki katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayolenga, pamoja ma mambo mengine, kukuza, ajira, kupambana na umasikini, kukuza mauzo ya budhaa nje ya nchi na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kupitia za upatikanaji wa nishati safi ya kupikia.
CMSA YAWEZESHA MAMLAKA YA MASOKO YA MITAJI BURUNDI KUPATA MAFUNZO YA
KITALAAM YANAYOTAMBULIKA KIMATAIFA
-
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania imewezesha wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Maso...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment