Habari za Punde


 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kalenga Jackson Kiswaga, bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde, bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na wabunge, Livingstone Lusinde wa Mtera  na  Mhandisi Godfrey Kasekenya wa Ileje na Naibu Waziri wa Ujenzi  ( kulia) bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2025.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na wabunge, Livingstone Lusinde wa Mtera (wa tatu kulia), Mhandisi Godfrey Kasekenya wa Ileje na Naibu Waziri wa Ujenzi  (wa pili kulia) na Cosato Chumi wa Mafiga Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki. bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.