Habari za Punde

DKT.BITEKO KUHUSU KUJENGA MTANDAO MKUBWA WA BOMBA LA GESI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies,Farhiya Warsame mara baada ya kumaliza mazungumzo  jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025 kando ya Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) linalofanyika kwa  Siku Tatu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.