Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro kuhutubia mkutano wa hadhara.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Sekondali Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro kuhutubia mkutano wa hadhara, Machi 25, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Kiraweni iliyopo Usangi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimajaro, Machi 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment