Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya nchi
hiyo iliyopo Jijini Luanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan
akipokea salamu ya kijeshi mara baada ya kuwasili katika
Ikulu ya Luanda nchini Angola.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe.
Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço katika Ikulu ya
Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025.
No comments:
Post a Comment