Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 13, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
KATIBU MKUU KIONGOZI ZANZIBAR AFUNGUA MAFUNZO SIWOLEMA
-
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv
KATIBU Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Zena Ahmed Said
ametoa wito ka washiriki 58 wanawake Viongozi ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment