WAFANYAKAZI WA IDARA YA UTUZAJI WA BARABARA ZANZIBAR WAKICHIMBA MSHINGI WA VIDARAJA VYA BARABARA YA MAGOMENI BAADA YA KUFANYIWA MATENGENOZO MAKUBWA NA KUWEKWE NJIA MBILI, WAKIJENGA VIDARAJA VYA KUIGAWA NJIA HIYO KUWA MBILI.
Hili ndilo tatizo letu sisi waafrika huwa hatuna plan mambo yetu ni ya kukurupuka tu, kama barabara hii tangu mwanzo ilikusudiwa kufanywa njia mbili kwa nini isiwepo plan ya kuigawa kati tangu wakati inajengwa? na hii ingeepusha usumbufu kwa mafundi na watumiaji wa barabara hii pamoja na kupunguza gharama kwa serikali, maana barabara imeshajengwa na sasa hivi sasa watu wanakurupuka na kuanza kuchimba ili kuigawa kati, mambo kama haya kwa kweli tutafika?
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
1 Comments

ReplyDelete