Dk Shein akikabidhiwa zawado ya mchoro wa Ikulu ya Zanzibar na mmoja wa akinamama.
Rais wa Zanzibar a Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akipokea maandamano ya Umoja wa wanawake wa Mikoa mitano ya Zanzibar, katika Viwanja vya Kisonge, Michenzani Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Miohammed Shein akiwahutubia akinamama wa mikoa mitano ya Zanzibar
SEKTA YA ELIMU INA MCHANGO MKUBWA KATIKA UCHUMI WA TAIFA - DKT. NCHIMBI
-
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi amesema kuwa sekta ya Elimu, hususan elimu ya Juu ina mchango
mkubwa ka...
2 hours ago
0 Comments