Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwakabidhi bendera ya Zanzibar, Watoto wanaowawakilisha Watoto wezao M ayatima wakiwa na Viongozi wao wanaokwenda nchini Uturuki kuiwakilisha Zanzibar katika Kongamano la Kimataifa la Kuadhimisha Siku ya Watoto Yatima litakalofanyika mjini Istambul Uturuki kuanzia tarehe 28/05 hadi 03/06/2012. na kuwajumuisha Watoto wanaotoka Nchi mbalimbali Nduniani kushiri katika Kongamano hilo.(Picha, Salmin Said, OMKR).
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
7 hours ago
0 Comments