6/recent/ticker-posts

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume ukisafishwa


Wafanyakazi wa Mamlaka ya Anga wakikata majani katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikiwa ni katika hatua za makusudi kwa Mamlaka hiyo kuimarisha uwanja na kuweka mazingira mazuri na usalama wa Ndege mbali mbali zinazotua katika Kiwanja hicho. [Na mpiga picha wetu.]

Post a Comment

0 Comments