Hajat Amina Kamishna wa Sensa Tanzania akitoa Taarifa katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi uliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa salamu katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waliohudhuria uzinduzi wa matokea ya awali ya sense ya watu na mazi Mjini Dar es salaam
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa taasisi na mashirika ya Kimataifa yaliyosaidia sensa ya watu na makazi nchini katika uzinduzi wa matokeo ya awali ya sensa ya watu na makazi jijini Dar es salaam.
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
6 hours ago





0 Comments