MENEJA wa benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)
tawi la Pemba Haji Machano Haji akimkabidhi trak suti na jezi 25, nahoza wa
klabu ya Jamhuri ya Wete Pemba Mfaume Shaaban kwa ajili ya mchezo wa marejeano
wa klabu bingwa barani Afrika baina yao na ST: George wiki mbili zijazo nchini
Ethiopia, anaeshuhudia ni Mkurugenzi wa fedha Jamhuri Salim Ubwa Nassor, (picha na Haji Nassor, Pemba)
MBUNGE KAIRUKI ATOA MATUMAINI MAPYA SARANGA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA
KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
-
Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki,
amefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo
inayoendelea...
6 hours ago
0 Comments