Wananchi wa kisiwa cha Tumbatu Zanzibar wakipokea mizigo ya vyakula vya sadaka, kutoka Bank ya FBME TAWI LA ZANZIBAR
Mkurugenzi wa uendeshaji wa BANK ya FBME tawi la Zanzibar, Nassor Dachi ( kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa Pandu Makame Kombo
Mfanya kazi wa FBME Said Mchande akimkabidhi Sadaka ya chakula Mzee Ali Khamis
Mfanya kazi wa FBME Aboubakar Saleh (kulia) akimkabidhi msaada wa chakula Bibi Miza Haji Nyange
Mkurugenzi wa uendeshaji Bank ya FBME Nassor Dachi (kulia ) akimkabidhi sadaka ya chakula Bibi Kazija Haji
PICHA ZOTE NA MARTIN KABEMBA
Malawi Kuongeza Ushirikiano wa Kimatibabu na Hospitali ya Benjamin Mkapa.
-
Waziri wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Jamhuri ya Malawi Madalitso
Baloyi, amesema serikali ya nchi yake inaangalia uwezekano wa kupunguza
gharama za m...
1 hour ago
0 Comments